Ezekiel 32:4-6


4 aNitakutupa nchi kavu
na kukuvurumisha uwanjani.
Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako
na wanyama wote wa nchi
watajishibisha nyama yako.

5 bNitatawanya nyama yako juu ya milima
na kujaza mabonde kwa mabaki yako.

6 cNitailowanisha nchi kwa damu yako inayotiririka
njia yote hadi milimani,
nayo mabonde yatajazwa na nyama yako.
Copyright information for SwhKC